Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 6 - Al-Anam
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 120 — Surah Al-Anam 6:120
Na acheni dhambi zilizo dhaahiri na zilizo fichikana. Hakika wanao chuma dhambi watalipwa kwa waliyo kuwa wakiyachuma