Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 6 - Al-Anam
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 131 — Surah Al-Anam 6:131
Hayo ni kwa sababu ya kuwa Mola wako Mlezi hakuwa wa kuiangamiza miji kwa dhulma, hali wenyewe wameghafilika