Back to Languages

Swahili - Chapter 6 - Al-Anam

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 27 — Surah Al-Anam 6:27

Na unge ona watakapo simamishwa kwenye Moto, wakawa wanasema: Laiti tungeli rudishwa, wala hatutakanusha tena Ishara za Mola wetu Mlezi, na tutakuwa miongoni wa Waumini