Back to Languages

Swahili - Chapter 6 - Al-Anam

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 98 — Surah Al-Anam 6:98

Na Yeye ndiye aliye kuzalisheni kutokana na nafsi moja. Pako pahali pa kutulia na pa kupita njia. Hakika tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanao fahamu