Al-Quran
Multilingual
Download Book
Home
Lunar Calendar
Blog
About
Donate
English
Download Now
Home
/
Books
/
Swahili
/
Surah Al-Araf (7)
/
Verse 28
Back to Languages
Swahili - Chapter 7 - Al-Araf
Translation by Ali Muhsin Al Barwani —
Permalink
Previous Chapter
Next Chapter
English
Arabic
Urdu
Hindi
Tamil
Bengali
Verse 28
— Surah Al-Araf 7:28
Na wanapo fanya mambo machafu husema: Tumewakuta nayo baba zetu, na Mwenyezi Mungu ametuamrisha hayo. Sema: Hakika Mwenyezi Mungu haamrishi mambo machafu. Mnamzulia Mwenyezi Mungu msiyo yajua
View verse 7:28 page →
·
Raw JSON