Back to Languages

Swahili - Chapter 98 - Al-Bayyinah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 5 — Surah Al-Bayyinah 98:5

Nao hawakuamrishwa kitu ila wamuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumtakasia Dini, wawe waongofu, na washike Sala, na watoe Zaka. Na hiyo ndiyo Dini madhubuti