Al-Quran
Multilingual
Download Book
Home
Lunar Calendar
Blog
About
Donate
English
Download Now
Home
/
Books
/
Swahili
/
Surah An-Nasr (110)
Back to Languages
Swahili - Chapter 110 - An-Nasr
Translation by Abdullah Muhammad Abu Bakr —
Permalink
Previous Chapter
Next Chapter
Verse 1
— Surah An-Nasr 110:1
Utakapotimia kwako , ewe Mtume, ushindi juu ya makafiri wa Kikureshi na ukafutahi Makkah
View verse 110:1 page →
·
Raw JSON
Verse 2
— Surah An-Nasr 110:2
Na ukaona watu wengi wanaingia kwenye Dini ya Mwenyezi Mungu makundi kwa makundi
View verse 110:2 page →
·
Raw JSON
Verse 3
— Surah An-Nasr 110:3
Yatakapotokea hayo, jitayarishe kukutana na Mola Wako kwa kumtakasa na kumhimidi na kumuomba msamaha kwa wingi. Kwani Yeye ni Mwingi wa kuwakubalia toba wenye kumsabihi na kumuomba msamaha, kwa kuwasamehe na kuwarehemu
View verse 110:3 page →
·
Raw JSON