Back to Languages

Swahili - Chapter 11 - Hud

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 110 — Surah Hud 11:110

Na kwa yakini tulimpa Musa Kitabu; zikazuka khitilafu ndani yake. Na lau kuwa si neno lilio kwisha tangulia kutoka kwa Mola wako Mlezi, bila ya shaka ingeli hukumiwa baina yao. Na hakika wao wamo katika shaka juu yake inayo wahangaisha