Back to Languages

Swahili - Chapter 11 - Hud

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 40 — Surah Hud 11:40

Hata ilipo kuja amri yetu, na tanuri ikafoka maji, tulisema: Pakia humo wawili wawili, dume na jike, kutoka kila aina, na ahali zako, isipo kuwa wale ambao imekwisha wapitia hukumu; na watu walio amini. Na hawakuamini pamoja naye ila wachache tu