Back to Languages

Swahili - Chapter 11 - Hud

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 63 — Surah Hud 11:63

Akasema: Enyi watu wangu! Mwaonaje ikiwa ninazo dalili zilizo wazi kutokana na Mola wangu Mlezi, naye akawa kanipa rehema kutoka kwake - je, ni nani atakaye ninusuru kwa Mwenyezi Mungu nikimuasi? Basi nyinyi hamtanizidishia ila khasara tu