Back to Languages

Swahili - Chapter 11 - Hud

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 91 — Surah Hud 11:91

Wakasema: Ewe Shua'ibu! Mengi katika hayo unayo yasema hatuyafahamu. Na sisi tunakuona huna nguvu kwetu. Lau kuwa si jamaa zako tunge kupiga mawe, wala wewe si mtukufu kwetu