Back to Languages

Swahili - Chapter 12 - Yusuf

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 19 — Surah Yusuf 12:19

Ukafika msafara, wakamtuma mchota maji wao, naye akatumbukiza ndoo yake. Alisema: Kheri Inshallah! Huyu hapa mvulana! Wakamficha ili kumfanya ni bidhaa. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa wanayo yatenda