Back to Languages

Swahili - Chapter 12 - Yusuf

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 28 — Surah Yusuf 12:28

Basi yule bwana alipoona kanzu yake imechanwa kwa nyuma, alisema: Hakika haya ni katika vitimbi vyenu wanawake. Bila ya shaka vitimbi vyenu ni vikuu