Back to Languages

Swahili - Chapter 12 - Yusuf

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 45 — Surah Yusuf 12:45

Hapo akasema yule aliye okoka katika wale wawili akakumbuka baada ya muda: Mimi nitakwambieni tafsiri yake. Basi nitumeni