Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 12 - Yusuf
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 62 — Surah Yusuf 12:62
Na Yusuf akawaambia watumishi wake: Tieni bidhaa zao katika mizigo yao, ili wazione watakapo rudi kwa watu wao wapate kurejea tena