Back to Languages

Swahili - Chapter 12 - Yusuf

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 88 — Surah Yusuf 12:88

Basi walipo ingia kwa Yusuf walisema: Ewe Mheshimiwa! Imetupata shida, sisi na watu wetu. Na tumeleta mali kidogo. Basi tupimie kipimo na fanya kama unatupa sadaka. Hakika Mwenyezi Mungu huwalipa watoao sadaka