Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 12 - Yusuf
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 93 — Surah Yusuf 12:93
Nendeni na kanzu yangu hii na mumwekee usoni baba yangu, atakuwa mwenye kuona. Na mje nao watu wenu wote wa nyumbani