Back to Languages

Swahili - Chapter 16 - An-Nahl

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 120 — Surah An-Nahl 16:120

Hakika Ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina