Back to Languages

Swahili - Chapter 16 - An-Nahl

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 35 — Surah An-Nahl 16:35

Na washirikina wanasema: Mwenyezi Mungu angeli taka tusingeli abudu chochote badala yake, sisi wala baba zetu, wala tusingeli harimisha chochote bila ya Yeye. Kama hivyo walifanya walio kuwa kabla yao. Basi lipo lolote juu ya Mitume isipo kuwa kubalighisha kwa uwazi