Back to Languages

Swahili - Chapter 16 - An-Nahl

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 8 — Surah An-Nahl 16:8

Na farasi, na nyumbu, na punda ili muwapande, na kuwa ni pambo. Na ataumba msivyo vijua