Back to Languages

Swahili - Chapter 16 - An-Nahl

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 88 — Surah An-Nahl 16:88

Wale walio kufuru na kuzuilia Njia ya Mwenyezi Mungu tutawazidishia adhabu juu ya adhabu, kwa walivyo kuwa wakifisidi