Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 17 - Al-Isra
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 31 — Surah Al-Isra 17:31
Wala msiwauwe wana wenu kwa kuogopa umasikini. Sisi tunawaruzuku wao na nyinyi. Hakika kuwaua hao ni khatia kubwa