Back to Languages

Swahili - Chapter 17 - Al-Isra

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 35 — Surah Al-Isra 17:35

Na timizeni kipimo mpimapo. Na pimeni kwa mizani zilizo sawa. Hayo ni wema kwenu na khatimaye ndio bora