Back to Languages

Swahili - Chapter 17 - Al-Isra

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 42 — Surah Al-Isra 17:42

Sema: Lau kuwa wangeli kuwa pamoja naye miungu mingine kama wasemavyo, basi wangeli tafuta njia ya kumfikia Mwenye Kiti cha Enzi