Back to Languages

Swahili - Chapter 17 - Al-Isra

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 62 — Surah Al-Isra 17:62

Akasema: Hebu nambie khabari ya huyu uliye mtukuza juu yangu. Ukiniakhirisha mpaka Siku ya Kiyama, hapana shaka nitawaangamiza dhuriya zake wasipo kuwa wachache tu