Back to Languages

Swahili - Chapter 17 - Al-Isra

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 71 — Surah Al-Isra 17:71

Siku tutapo waita kila kikundi cha watu kwa mujibu wa wakifuatacho - basi atakaye pewa kitabu chake kwa mkono wake wa kulia, basi hao watasoma kitabu chao wala hawatadhulumiwa hata chembe