Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 2 - Al-Baqarah
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 161 — Surah Al-Baqarah 2:161
Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri, hao iko juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote