Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 2 - Al-Baqarah
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 166 — Surah Al-Baqarah 2:166
Walio fuatwa watakapo wakataa wale walio wafuata, na hali ya kuwa wamekwisha iona adhabu; na yatakatika mafungamano yao