Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 2 - Al-Baqarah
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 176 — Surah Al-Baqarah 2:176
Hayo ni kwa sababu Mwenyezi Mungu ameteremsha Kitabu kwa haki. Na wale walio khitilafiana katika Kitabu wamo katika upinzani ulio mbali na haki