Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 2 - Al-Baqarah
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 226 — Surah Al-Baqarah 2:226
Kwa wanao apa kuwa watajitenga na wake zao, wangojee miezi mine. Wakirejea basi Mwenyezi Mungu hakika ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu