Al-Quran
Multilingual
Download Book
Home
Lunar Calendar
Blog
About
Donate
English
Download Now
Home
/
Books
/
Swahili
/
Surah Al-Baqarah (2)
/
Verse 261
Back to Languages
Swahili - Chapter 2 - Al-Baqarah
Translation by Ali Muhsin Al Barwani —
Permalink
Previous Chapter
Next Chapter
English
Arabic
Urdu
Hindi
Tamil
Bengali
Verse 261
— Surah Al-Baqarah 2:261
Mfano wa wanao tumia mali zao katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa punje moja iliyo chipuza mashuke saba. Katika kila shuke zimo punje mia. Na Mwenyezi Mungu humzidishia amtakaye, na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa na Mwenye kujua
View verse 2:261 page →
·
Raw JSON