Back to Languages

Swahili - Chapter 2 - Al-Baqarah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 3 — Surah Al-Baqarah 2:3

Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa