Back to Languages

Swahili - Chapter 2 - Al-Baqarah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 43 — Surah Al-Baqarah 2:43

Na shikeni Sala, na toeni Zaka, na inameni pamoja na wanao inama