Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 2 - Al-Baqarah
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 66 — Surah Al-Baqarah 2:66
Kwa hivyo tukayafanya hayo kuwa onyo kwa wale walio kuwa katika zama zao na walio kuja baada yao, na mawaidha kwa wachamngu