Back to Languages

Swahili - Chapter 20 - Ta-Ha

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 134 — Surah Ta-Ha 20:134

Na lau kuwa tuliwaangamiza kwa adhabu kabla yake, wangeli sema: Ewe Mola wetu Mlezi! Kwa nini usituletee Mtume tukazifuata ishara zako kabla hatujadhilika na kuhizika