Back to Languages

Swahili - Chapter 20 - Ta-Ha

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 77 — Surah Ta-Ha 20:77

Na tulimfunulia Musa: Toka usiku na waja wangu, na uwapigie njia kavu baharini. Usikhofu kukamatwa, wala usiogope