Back to Languages

Swahili - Chapter 20 - Ta-Ha

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 86 — Surah Ta-Ha 20:86

Musa akarudi kwa watu wake kwa ghadhabu na kusikitika. Akasema: Enyi watu wangu! Kwani Mola wenu Mlezi hakukuahidini ahadi nzuri? Je, umekuwa muda mrefu kwenu au mmetaka ikushukieni ghadhabu ya Mola wenu Mlezi, ndio maana mkavunja miadi yangu