Back to Languages

Swahili - Chapter 22 - Al-Hajj

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 41 — Surah Al-Hajj 22:41

Wale ambao tukiwapa madaraka katika nchi husimamisha Sala, na wakatoa Zaka, na wakaamrisha mema, na wakakataza mabaya. Na kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo ya mambo yote