Back to Languages

Swahili - Chapter 23 - Al-Muminun

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 100 — Surah Al-Muminun 23:100

Ili nitende mema sasa badala ya yale niliyo yaacha. Wapi! Hii ni kauli aisemayo yeye tu. Na nyuma yao kipo kizuizi mpaka siku watapo fufuliwa