Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 23 - Al-Muminun
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 103 — Surah Al-Muminun 23:103
Na wale ambao mizani zao zitakuwa nyepesi, hao ndio walio zitia khasarani nafsi zao, na katika Jahannamu watadumu