Back to Languages

Swahili - Chapter 23 - Al-Muminun

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 14 — Surah Al-Muminun 23:14

Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji