Back to Languages

Swahili - Chapter 23 - Al-Muminun

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 21 — Surah Al-Muminun 23:21

Na hakika mnayo mazingatio makubwa katika nyama hoa - tunakunywesheni katika vile viliomo matumboni mwao, na nyinyi mnapata katika hao manufaa mengi, na pia mnawala