Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 23 - Al-Muminun
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 41 — Surah Al-Muminun 23:41
Basi ukawanyakua ukelele kwa haki, na tukawafanya kama takataka zinazo elea juu ya maji. Ikapotelea mbali kaumu ya madhaalimu