Back to Languages

Swahili - Chapter 23 - Al-Muminun

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 88 — Surah Al-Muminun 23:88

Sema: Ni nani mkononi mwake umo Ufalme wa kila kitu, naye ndiye anaye linda, wala hakilindwi asicho taka, kama mnajua