Back to Languages

Swahili - Chapter 23 - Al-Muminun

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 91 — Surah Al-Muminun 23:91

Mwenyezi Mungu hana mwana yeyote, wala hanaye mungu mwengine. Inge kuwa hivyo basi kila mungu angeli chukua alivyo umba, na baadhi yao wangeli washinda wengine. Mwenyezi Mungu ameepukana na sifa wanazo msifu