Back to Languages

Swahili - Chapter 27 - An-Naml

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 43 — Surah An-Naml 27:43

Na yale aliyo kuwa akiyaabudu badala ya Mwenyezi Mungu yalimzuilia. Hakika yeye (Malkia) alikuwa katika kaumu ya makafiri