Back to Languages

Swahili - Chapter 27 - An-Naml

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 62 — Surah An-Naml 27:62

Au nani yule anaye mjibu mwenye shida pale anapo mwomba, na akaiondoa dhiki, na akakufanyeni warithi wa ardhi? Je! Yupo mungu pamoja na Mwenyezi Mungu? Ni machache mnayo yazingatia