Back to Languages

Swahili - Chapter 27 - An-Naml

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 7 — Surah An-Naml 27:7

(Kumbuka) Musa alipo waambia ahali zake: Hakika nimeona moto, nitakwenda nikuleteeni khabari, au nitakuleteeni kijinga kinacho waka ili mpate kuota moto