Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 33 - Al-Ahzab
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 7 — Surah Al-Ahzab 33:7
Na tulipo chukua ahadi kwa Manabii na kwako wewe, na Nuhu na Ibrahim na Isa mwana wa Mariamu, na tulichukua kwao ahadi ngumu