Back to Languages

Swahili - Chapter 36 - Ya-Sin

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 33 — Surah Ya-Sin 36:33

Na Ishara hiyo kwao - ardhi iliyo kufa, nasi tukaifufua, na tukatoa ndani yake nafaka, wakawa wanazila